NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, January 14, 2011

FIKRA YA IJUMAA: "I ONLY HAVE TO OUTRUN YOU !!!"


Hebu tusome na kutafakari kisa hiki kifupi. Kinaweza kutufundisha kitu kuhusu maisha. Wikiendi njema jamani.

****************
Two lawyers walking through the woods spotted a vicious-looking bear. The first lawyer immediately opened his briefcase, pulled out a pair of sneakers and started putting them on.  The second lawyer looked at him and said:
"You are crazy! You'll never be able to outrun that bear!" 
"I don't have to," the first lawyer replied. 

"I only have to outrun you!"

4 comments:

 1. SI nimewahi kusikia kuna wanyama kama CHUI hupendelea kushambulia mtu wa mbele?

  Wikiendi njema Mkuu!

  ReplyDelete
 2. Huyu ni mnyama muhimu sana hapa Finland. Wengine wanaamini ni mungu wao! Wenyewe wanamwita KARHU. Karhu pia ni jina la pombe aina ya bia.

  ReplyDelete
 3. Mtakatifu - inasemekana pia huyu mnyama ambaye Matiya anasema Wafin wanamwita KARHU ana tabia ya kutokula maiti. Kwa hivyo ukijifanya umekufa anaweza kukuacha na akaendelea kumtoa mkuku huyo wa mbele aliyevaa "sneakers." Lakini hata ile kujifanya umekufa ni kazi ngumu wakati mnyama hatari kama huyu akikujia mbio...

  Kuhusu chui sijui- lakini ni wanyama wachache wenye tabia hii. Kwa hivyo pengine mara nyingi ni busara kupiga mbio zaidi kuliko mshindani wako. Maisha!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU