NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, January 8, 2011

FIKRA KOMBOZI ZA PROFESA MBELE ZABISHA HODI WILAYANI MBULU KWA MWANAHARAKATI MATIYA !!!


 • Fikra kombozi za Profesa Mbele zinaendelea kukubalika na sasa zimebisha hodi kwa Mwanaharakati Matiya ambako "wananchi wenye asili ya Wilaya ya Mbulu, mkoani Manyara wanaoishi nje ya wilaya hiyo wametakiwa kukumbuka walikotoka na kujaribu kutoa misaada ya kielimu, kiafya na kiuchumi."
 • Mbunge wa jimbo hilo Ndg. Akunaay amesema "umefika wakati wa kila msomi, mfanyabiashara na mwana Mbulu anayeishi nje ya wilaya hiyo kuchangia maendeleo ya jimbo lao ambalo kila mwaka linazidi kudidimia kielimu, kiafya na kiuchumi"

Kusoma habari kamili kuhusu mada hii bofya hapa!

3 comments:

 1. Mdugu Matondo, nipo kabisa, ila hizi news zilipita mbali kidogo, unajua tena haya magazeti ya serikali saa zingine nayaperuz kwa juu juu, kumbe kufanya hivyo nikukosa uhondo wakati mwingine.

  Ni matumaini yangu kuwa Akonaay ataleta mabadiliko ya kweli, hivi karibuni niliongea naye kwenye simu, anaonekana ni mtu humble na mpenda maendeleo, tofauti na aliyekuwa Mbunge wetu wa miaka nenda rudi, Ndugu Marmo.

  Kusema ukweli wala sifahamiani naye na wala sijawahi kukutana naye, lakini nilijaribu kutafuta contacts zake kwenye internet na nilimpigia ili tuweze kutatua kero fulani iliyojitokeza pale kijijini kwetu, aliishughulikia mara moja na baada ya hapo akanipa na email yake kwa madai kuwa anahitaji imputs ya watanzania waliopo ndani na nje ya nchi katika ili kuharakisha kasi ya maendeleo katika nyanja mbabli mbali.

  ReplyDelete
 2. Hongera zake Mkuu Mbele, hiyo ndiyo twataka. Shukurani kwa taarifa hii mkuu

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU