NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, January 31, 2011

"HUKU MJINI UTATUSUMBUA KUSAFIRISHA MAITI YAKO !"

4 comments:

 1. Ujumbe murua mkuu, mwenye macho haambiwi tizama, na kama hujui kufa tizama kaburi!

  ReplyDelete
 2. ujumbe umefika mkuu. umekaa kiurahisi sana. Si lazima uwe mjini ati!! Au ndio kwanza uwe umefika mjini... Ahsante mkuu

  ReplyDelete
 3. hahahhhaa kunausemi unasema Jogoo wa shamba hawiki mjini sasa huyo anataka kuwika ataharibu usemi na maiti gharama!macho ayaone na mwenye masikio ayasikie!!!!!Aksante kaka kwa ujumbe mzito!.

  ReplyDelete
 4. Hii mada ni muhimu. Tangu zamani za kale, binadamu ametafakari na kuelezea uwiano au tofauti baina ya mambo ya mjini na mambo ya shamba. Hiyo katuni inaendeleza jadi hiyo kwa namna yake. Niligusia kidogo suala hili hapa.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU