NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, January 5, 2011

NENO LA LEO.....


"Everything has been figured out except how to live"
(Jean-Paul Sartre: 1905 - 1980)

***************

2 comments:

  1. Neno zito hilo, hebu tutafsiri kwa lugh yetu:KILA KITU KILISHAWEKWA/ANDALIWA/KIPO ILA JINSI GANI YA KUISHI...sijui nimepatia?

    ReplyDelete
  2. Emu-three: Bila shaka tafsiri yako ni sahihi. Jean-Paul Sartre ni "mkali" wa tapo muhimu la "Existentialism" katika falsafa na kwa kuwa wewe ni mwandishi, soma riwaya na maandiko mengine ya mfuasi mkuu wa tapo hili la Kifalsafa katika fasihi ya Kiswahili na utaona. Huyu si mwingine bali ni Euphrase Kezilahabi - mwandishi wa Kichomi, Karibu Ndani (Mashairi), Gamba la Nyoka, Rosa Mistika, Kichwa Maji, Nagona, Mzingile (Riwaya), Kaptula la Marx (Tamthiliya) na hadithi nyingine fupi fupi kama Mayai Waziwi wa Mayai na zinginezo.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU