NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, January 13, 2011

SAID MICHAEL ANAVYOIONA SAFARI YA CCM. NI KWELI ???

2 comments:

  1. mmhhh kaka mimi sina uhakika kwani huyu sisiemu bado huo mwili naona bado mkubwa!,Nje ya mada hii, kaka katika chimbuchimbu yangu hapa kwako nikakutana na mada Umeadhirika nimecheka kidogo lakini haswa hli pishi limenivutia wangu,Nataka nijaribu halafu nitakupa majibu je huu mchicha ni fresh au wa kio,paketi?.Ubarikiwe!.

    ReplyDelete
  2. Kevin (a.k.a Mwenye busara)January 13, 2011 at 7:51 PM

    CCM IPO, ILIKUWEPO NA ITAENDELEA KUWEPO. Nyinyi hangaikeni tu na CHADEMA yenu lakini hata mwaka 2015 mtalia na kusaga meno. Mpaka siku moja mtakapoamka na kuungana. Mwaka huu mliweka padri mzinzi ambaye waTZ tayari weshamjua kuwa ni mtu hatari na mchafua amani tu mwenye uchu wa madaraka, mwaka 2015 sijui mtamuweka nani. CCM tayari tunamjua mgombea wetu na ni mtu safi atakayeshinda kwa kishindo. Nyie choreni tu makatuni mnavotaka lakini CCM ndiyo dume...mtaendelea kubwengwa tu mpaka mkome nyie.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU