NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, February 23, 2011

HEBU SIKILIZA MADUDU YA HUYU MWIZI UCHWARA

 • Ni hapa hapa jimboni Florida. Jina lake ni Kenneth Lucious White. Kaingia kwenye duka ili kuiba. Badala ya kumakinikia kilichompeleka humo, akawasha kompyuta, akaingia katika wavuti za ngono, akashusha suruali na kuanza "kujichakachua"
 • Inaonekana hata alikuwa hafuatilii kilichokuwa kinaendelea nje kwani polisi walifika na kumkamata "redi hendedi".
 • Matendo kama haya, japo ni ya kipuuzi, angalau yanatupa fununu muhimu kuhusu mnyama huyu machachari na tata ajabu aitwaye binadamu. Ati, hapa ustaarabu na u-Homo Sapiens wake viko wapi?
Kisa hiki kinapatikana HAPA.

6 comments:

 1. Kaka hiyo kali yafaa iitwe kali ya leo pia wanadamu twapaswa tujifunze uanadamu pia maadili viwe miongozo ya maisha yetu twashukuru kwa kutupasha, twategemea utaendelea kutupasha zaidi.

  ReplyDelete
 2. Unajua sisi viumbe binadamu ni watu wa ajabu sana, kisa hiki kinanikumbusha mwizi mmoja alikamatwa pale Kariakoo, alichofanya wakati jamaa anampeleka polisi ni kujinyea, ....hebu fikiria!

  ReplyDelete
 3. Shughuli!!!
  Lakini hayo tulikuwa yanatokea sana kwa wale wasioweza kuzuia ngono yaani mioyo yao inadunda kwenye sehemu nyeti. Hata Dsm wakati ndo net cafe zimeanza kulikuwa kunaCABIN huko midume ilikuwa inajichakachua ile mbaya naona sehemu nyeti zao zilikuwa zinatoka michubuko! Mwe! MUWE NA AIBU, midume hiyo ilikuwa ikitoa misauti ya ajabu kama wanyamapori. Mkiendekeza ngono mtabaka si tu mabinti zenu bali hata mama zenu waliowazaa. MKOME!!!!

  ReplyDelete
 4. Hebu acheni kumkandia mwenzenu. Ni nani kati yenu ambaye hajawahi kujichakachua? Tena wengine ndo mko addicted kabisa regardless kama mmeoa au la! This is a big problem kwenye ndoa nyingi.

  Huyu dogo hata hivyo kachemsha kwa kusahau why he went into the furniture store. Inafurahisha, kushangaza na hata kusikitisha !

  ReplyDelete
 5. Matondo, huyu jamaa nmafanana kweli duh ! Are you sure humfahamu?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU