NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, February 15, 2011

HUYU DAKTARI VIPI TENA ???

Kama kawaida ni Said Michael

6 comments:

 1. Greetings from Finland. This blog is fun to explore, through other countries, people, culture and nature. Come take a look Teuvo pictures blog. And tell all your friends know why you should visit Teuvo pictures blog. Therefore, to obtain your country's flag to rise above the country's flag on my blog collection. Happy end of February. Teuvo Vehkalahti Finland

  ReplyDelete
 2. Baada ya kusafisha hayo meno hata huyo daktari atamezwa, tu; kwani inasemekana ladha ya mtu (DAKTARI) na nguruwe sawasawa kabisa kwa wale waliyowahi kuonja vyote viwili!

  ReplyDelete
 3. Daktari mwenyewe hata kusimama mwenyewe hawezi mpaka asimame kwenye miguu ya mgonjwa unategemea nini? Badala ya angalau kunusa harufu chafu na uozo wa nguruwe unaotokota tumboni mwa mgonjwa wake, yeye anaishia tu kuchekelea white teeth.

  Mimi naona daktari kama huyu hatufai na ikiwezekana anyang'anywe leseni na apigwe marufuku ku-practice medicine. Problem ni kwamba huyo mgonjwa anayesifiwa kuwa na white teeth ndiye mwenye maamuzi. Kizungumkuti tu and it seems there is no way out.

  Said Michael anainukia kuwa cartoonist mwenye vision kali kumzidi hata Kipanya. Keep up the good work SM....

  ReplyDelete
 4. Huyu daktari hatibu cho chote huyu. Lengo lake ni KUMSAFISHA mgonjwa wake ili harufu ya maguruwe tumboni mwake iishe. Sasa kasafisha ulimi na sasa anashangalia weupe wa meno. Only in Tanzania my friend!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU