NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, February 2, 2011

KWA MADIKTETA NA MAFISADI WA AFRIKA: WAKATI WA KUNYOLEWA NA UMMA NDIO HUU !!!

  • Umma wa Afrika umeshachoshwa na ufisadi na viongozi wa bara hili (ambalo ni tajiri sana lakini masikini sana pia) inabidi walitambue hili. Kama Waswahili wanavyosema, ukiona mwenzako ananyolewa wewe tia maji. Na inavyoonekana umma ni kinyozi wa kuaminika sana. Enyi mafisadi na madikteta wa Afrika, nyembe na mikasi vimeshaandaliwa. Kaeni mkao wa kunyolewa. Kama si leo basi ni kesho !!!

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU