NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, February 25, 2011

MTAJI WA MASIKINI NI...........

Sikumbuki nilikoipata picha hii. 
Kama ni mali yako sema nikushukuru !

8 comments:

 1. Bei ya ugali aliyekula kabla ya kusukuma lile bhasikeli ni kubwa kuliko mshahara atakayepata kwa kusafirisha yale matofali. Je, yule mtu mjinga nini?


  Jawabu: Hapana kabisa!


  Ametimiza amri moja ya Mwenyezi Mungu: [FANYA KAZI, NA ASIYEFANYA KAZI VILEVILE ASILE. WAOGA NA WAVIVU HAWATAFIKA MBINGUNI!]

  Yeye ni bora kuliko wasomi wengi wanaokaa tu nyumbani na kukwepa kazi za mikono, kudharau kazi zinginezo kote kwa kudai eti 'kazi walizosomea hazipatikani', ambao ni ugonjwa wa akili uliyoenea Barani Afrika kwa vijana, hasa hapa kwetu Afrika Kusini. Unakuta mtu anaona amedharaurika sana akisafisha vyatu vya watu huko mitaani!

  Hongera, Mkuu Nzuzullima (MMN) kwa kutupatia picha yenye mwamko!

  ReplyDelete
 2. tumia ulicho nacho. mwanzo mgumu lakini tutafika tu!!

  ReplyDelete
 3. Matofali yake......

  ReplyDelete
 4. I swear huyu jamaa pamoja na umasikini wake ni lazima kavuta bangi huyu. Mbona asichukue matofali machache akaenda kwa raha? Au atafute toroli basi kama anataka kubeba matofali mengi namna hii. Matofali haya hafiki nayo popote na yote yatatawanyika njiani.

  Na usije ukashangaa pengine alipewa kofia na kanga halafu akachagua chama kile kile ambacho kimemtia katika hali hii in the first place. Mimi watu kama hawa siwahurumii. Kesho utamkuta kajichora rangi za CCM mwili mzima. Amkeni Watanzania. Your country is rich and you don't deserve this shit!

  ReplyDelete
 5. japo usemi unasema hivyo ni nguvu zako mwenyewe,lakini hii ni hatari unaweza ukapata hasara zaidi!.

  ReplyDelete
 6. Mmmh hatari...mpaka hiyo nyumba au chochote kinachojengwa kikikamilika si yuko hoi mwenzetu? Mmh

  ReplyDelete
 7. Mtaji wa masikini wenye uhakika ni umasikini wake!:-(

  AU?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU