NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, February 7, 2011

SERIKALI IACHE UBAGUZI WA AINA HII - (UCHESHI)

Tusitegemee serikali itufanyie kila kitu - hata kwa mambo ambayo siyo ya msingi. Kuna mambo mengi ambayo tunaweza kujifanyia sisi wenyewe bila kusubiri serikali....

5 comments:

 1. Katuni yaweza onekana kama vile ni senseless lakini the truth ni kwamba pombe sasa imekuwa tatizo kwa jamii. Akina baba hawako majumbani. Wakitoka kazini ni lazima wapite huo wanywe bia na kitimoto, wakirudi nyumbani hawawajali wake zao hata kwenye chakula cha usiku. Mipombe hii ya kila siku inawafanya wawe na vitambi, afya zao kuzorota na matatizo mengine kibao.

  It is a social crisis

  ReplyDelete
 2. Naongezea da Yasinta,yeye huko bar anakula, hajui watoto na mama nyumbani wanakula nini pia kama mahitaji ya shule yapo sawa.Ikitokea bahati yupo nyumbani na kumepikwa kuku, apewe supu,abanikiwe kidogo,mchuzi mzito na nayama za kifua,mapaja,firigisi ni vya baba,baada ya hapo mchuzi unaongezwa maji ili utoshe kwa watoto na mama!Huyo ni kuku mmoja!!!!!!!

  ReplyDelete
 3. pia serikari aiche ubaguzi wa kuilipa DOWANS tu na kusahau mambo madogo/muhimu ya wananchi

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU