NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, February 14, 2011

VALENTINE DAY: UKIMWI UPO TENA UNAPATIKANA KWA BEI POA TU...

Kwa vile Valentine Day tumeivalia njuga hata kuwazidi Warumi wenyewe walioianzisha, basi Valentine ya mwaka huu na tukawe werevu na wenye kujihadhari na hili gonjwa hatari la UKIMWI. Ukweli ni kwamba gonjwa hili bado lipo, linaua na bado HALINA TIBA!!! Kwa hili tunaungana na Mama Regina Lowassa kusema kwamba Valentine Day isiwe ya anasa!
 


***Kwingineko***

3 comments:

 1. Unajua. Bila kupata sex siku ya Valentine Day basi wewe you are a loser. Ni vizuri kukumbushana hivi. Vijana wetu wanaangamia. Sijui kwa nini tunaiga mambo carelessly namna hii.

  ReplyDelete
 2. Huyo mwanafunzi picha ya mwisho anafurahisha. This might be a reason kwa nini wanafunzi wanafeli sana masomo. Na walimu wengi ni wazuri sana mpaka mtu waweza shindwa kuconcentrate hasa kama ticha ana matako makubwa na yuko mbele amebend anaandika. Ukiwa tineja ni kazi ngumu sana kujizuia in this case. Nice message overall.

  ReplyDelete
 3. Ukimwi unayo kinga! Na kinga yenyewe ni kubadili tabia, si lazima iwe katika mfumo wa chanjo ndo basi tujue ni kinga. Kipindipindu pia kina kinga ni kuwa katika mazingira masafi na kufuata kanuni za uasfi kitakuwa ni history.

  Sexual intercourse isifanye kuwa ni muhimu kiasi kwamba ukikosa basi wewe utakufa kama ambavyo ukikosa oxygen uhai huna, lazima ifanyike kwa staha na heshima ya hali ya juu.

  Kwanini bongo zetu ziamie kwenye viungo nyeti? Inasikitisha wanandoa kabla ya kuoana walipima na kujikuta safi, lakini wape miaka miwili au mitatu basi lazima utakuta damu zao ni chafu sasa future yao na ya watoto wao inaharibika.

  Wapo vichaa wengi na walemavu ambao baadhi ya wanaume hu-take advantage of them na kusema kwamba na wao wanahaki ya kupata HAKI YA KIJAMII kwa kuwabaka na kuwapa mimba au kuwaambukiza virusi, wanasahau kwamba matunda ya tendo hilo ni kama si mimba basi ni marardhi, na iwapo itatungwa mimba mama huyo atahitaji kutunzwa vivyohivyo na kiumbe kitakacho zaliwa, sijui wenzetu hawa wanapofanya ufirauni hao wakijidai kwamba they fulfill those so called social(basic)needs ndo inaishia hapo? Jamani ikiwa wanaume mtabadili tabia zenu za kifirauni hii dunia itakuwa ni yenye amani na free of STDs UKIMWI included.

  Wanawake wazuri ni wengi sana lakini huwezi kuwa na mahusiano nao wote. Kila mwanamke anao uzuri wa kipekee. Tubadilike, japokuwa maisha ni mafupi hatutaishi milele hata tusipokufa kwa ukimwi tutakufa kwa mengine, maumivu ya kuwa na virusi na kuugua ukimwi ni makali mno.

  PIA TUKUMBE THE SO CALLED VALENTINE DOES NOT MEANS SEXUAL INTERCOURSING, ngono ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo VALENTINE OR NO VALENTINE.

  Take a good care of yourselves wapendeni wake, waume zenu, watoto na ndugu zenu wanaowategemea pia, acheni ubinafsi. Huenda bila UKIMWI watu wangevavaa chupi kichwani ili maeneo nyeti yawe available all the time.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU