NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, February 1, 2011

WANAFIZIKIA: NINI KINAENDELEA HAPA? (SEKUNDE 22)

Mbona mpira huu umegoma kuingia "kikapuni" japo ulikuwa tayari umeshaingia? Ni kazi ya "kamati ya ufundi" nini?

2 comments:

  1. Physics yangu imeshaanza kuota kutu siku hizi. Nadhani tulaumu matumizi ya law of gravitation na momentum.

    ReplyDelete
  2. Gravitation force hapa haihusiki kwani yenyewe huvuta vitu kwenda down. Hata momentum nina mashaka nayo. Huyu jamaa kadunk na ana uzito wa zaidi ya paundi 200. Sasa iweje mpira uingie zaidi ya robo tatu halafu tena utoke bila kusukumwa na mtu? Inawezekana mtu kafanya magic hapa kwani hii haiwezekani. Hata huko Ulaya uchawi na magic vipo sana. Na pia not everything can be explained by science!!!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU