Bwana Matiya, umefikiaje hitimisho hili? Ni kutokana na umaarufu wa bangi Jamaica?
Binadamu anaweza kufanya mambo ya ajabu sana. Nilipoiona hii video kwa mara ya kwanza nilicheka kwa sababu ni watu wanafurahi lakini baadaye nikafikiri na kuishia tu kusema mh!
Hapa bangi lazima imetumika!
ReplyDeleteBwana Matiya, umefikiaje hitimisho hili? Ni kutokana na umaarufu wa bangi Jamaica?
ReplyDeleteBinadamu anaweza kufanya mambo ya ajabu sana. Nilipoiona hii video kwa mara ya kwanza nilicheka kwa sababu ni watu wanafurahi lakini baadaye nikafikiri na kuishia tu kusema mh!
Mimi nahisi moyo wangu uliruka mapigo fulani kwa kuangalia video hii :-(
ReplyDelete