NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, March 12, 2011

KUISHI USWAHILINI KUNA RAHA ZAKE!!!!

(1) Wapangaji wenzangu mko fuluu?

 • Ukizoea ya uswahilini kwenye uhuru, ya uzunguni kwenye mageti huyawezi; na ukizoea ya uzunguni kwenye mageti, ya uswahilini kwenye uhuru huyawezi. Uswahilini vs Uzunguni - dunia mbili kinzani: huku ni wasionacho na kule ni wenye kila kitu. Dunia ! 
(2) Mithili ya helikopta ya Mbowe

5 comments:

 1. Raha zaidi humjia mtu anayeweza kuishi uzunguni kwa ule urahisi kama anavyoishi uswahilini. Unaongeza au kupunguza mwendo kwa matarajio yako kabla hujaingia papya! JUST LOWER OR RAISE YOUR EXPECTATIONS ACCORDINGLY AND YOU SHOULD BE FINE!

  ReplyDelete
 2. Huyu jirani anayewajulia hali majirani zake naona ni mtu mwenye roho ya ujirani mwema. Tena, kwa kuzingatia lugha yake, naona ni mcheshi. Yaani ukiwa na jirani wa namna hii, hata siku unapokuwa na masikitiko anakupa michapo nawe unaishia kuvunjika mbavu.

  Tena anaonekana muumini wa dini :-)

  ReplyDelete
  Replies
  1. Hahahaaa,umenifurahisha sna ulivyomchambua huyo character...mimi ndie mchoraji wa hiyo katuni ila niliichora kitambo sana

   Delete
 3. Hiyo ya Jirani, ila imenichekesha maana jirani mwenyewe alivyo alivyo...mh! ha ha ha.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU