NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, March 22, 2011

NATUMAINI KWAMBA NDOA HII ILIDUMU (ANZIA 2:25)

2 comments:

  1. Jestina MwambulukutuMarch 22, 2011 at 4:13 PM

    Warusi kweli hawana mchezo. Hapana ni lazima tu watakuwa wamekunywa mavodka na halafu ngumi zikaanza. Pengine familia moja ilikuwa ya kifisadi na nyingine ilikuwa masikini. Kudharauliana kupo sana na utakuta ile familia ya kifisadi inawadharau hawa masikini. Halafu ngumi zinawaka. Nimecheka sana ingawa pia kuna mambo ya kufikiri. I also hope kwamba ndoa hii ilidumu.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU