NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, March 3, 2011

ORIJINO KOMEDI "WAFAFANUA" KUHUSU SHIDA YA UMEME TANZANIA !!!

 • Kwa jinsi mambo yanavyokwenda, na hii mikataba ya Ki-Carl Peters na Chifu Mangungo tuliyoingia, mtu waweza kushawishika kuamini kwamba pengine welewa wa mambo na vitendo vya baadhi ya wakuu wa mashirika yetu nyeti ni sawa na wa huyu Mkurugenzi wa Tanesco anayepanga mikakati hapa. Yaani !!!

3 comments:

 1. Kalumekenge Lowassa MalechelaMarch 3, 2011 at 6:23 PM

  Bunsen Burner

  Laboratory Apparatus

  Gravitational Force....

  Ni uchesi but real philisophical. Tatizo kubwa ni kupeana vyeo na ukuu wa haya mashirika through nepotism na mara nyingi hata bila kuzingatia taaluma. Unakuta daktari wa mifugo kapewa kuendesha ATC. Au daktari wa binadamu kapewa kuendesha wizara ya ulinzi. Mabomu yanaripuka hata hajui aseme nini? Mbona watu wasipewe mashirika na wizara kulingana na taaluma zao walizosomea? Is this hard to do? Come on.

  Huyu Mkurugenzi wa Tanesco ni kweli amesomea Electrical Engineering? Anajua cho chote kuhusu Marketing na mambo ya msingi katika uchumi? Only in Tanzania. Only in Tanzania my friend !!!

  ReplyDelete
 2. Matatizo ya umeme!Matatizo ya umeme!

  Acheni siasa za apartheid za kuwabagua wanavijijini, ninyi Watanganyika-Wanzanzibari!

  Ni wangapi kati ya wananchi wa Tanzania wana umeme majumbani kwao?

  ReplyDelete
 3. hahhaaa Mishumaa.mafuta ya taa tuuze!joti anavisa sana!!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU