NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, March 2, 2011

PROFESA UNG'ENG'E

2 comments:

  1. Kwanini tuwe watumwa wa lugha za watu, kama hatuwezi lugha hiyo, tunayo lugha yetu tunayoiweza kwanini tusiitumie. Mkuu ujumbe umefika barabra

    ReplyDelete
  2. emu-three - Profesa Ung'eng'e naye anataka aonekane kuwa wamo mbele ya Mzungu.

    Kama kweli tunataka kuendelea kuitumia lugha hii kama lugha yetu rasmi na hasa katika elimu, inabidi tufanye juhudi kubwa kuhakikisha kwamba inafundishwa vyema mashuleni. Naamini kwamba hapa ndipo hasa mahali pa kuanzia.

    Vinginevyo tutaendelea kuwa na akina Profesa Ung'eng'e wengi tu.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU