NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, March 23, 2011

UANASIASA NI KAZI NGUMU. KAMA UNABISHA TAZAMA HII PICHA KWA MAKINI

  • Mbunge wa Arusha Mjini Godbles Lema akihutubia wananchi mara baada ya kufungua tawi jipya la Chadema katika chuo kikuu ch Sebastiani Kolowa wilayani Lushoto jijini Tanga mwishoni mwa wiki iliyopita. Si wote wanaoweza kuwa wanasiasa; na nahisi kwamba mimi ni mmojawao!
  • Ukitaka kusoma zaidi kuhusu uanasiasa na changamoto zake, soma ingizo langu jingine fupi HAPA. Picha hii nimeipata HAPA.

2 comments:

  1. Ni kweli, jamaa kapanua mdomo mpaka mwisho, katoa sauti mpaka mwisho , mikono juu na kila kitu juu, lakini mmmh, naona kama watu kimya!

    ReplyDelete
  2. Jamaa kapanua mdomo utafikiri kweli ana uchungu na watu kumbe shida ni tumbo tu. Halafu sijui na hapo kwenye suruali napo babu kaamka kutoka usingizini nini. Si ajabu kaona bonge la demu humo kwenye umati. Siasa za kitoto na ulimbukeni!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU