NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, March 21, 2011

WAKE ZA WATU NI HATARI !!!

Katuni zina uwezo wa kufundisha na kuzungumzia mambo muhimu kwa ufupi na kwa uwazi. Ni chombo muhimu cha uelimishaji. Ndiyo maana mimi nazipenda sana!
*************
Katuni ni kutoka  Mambo ya Uswazi

Nadhani katuni hii ni kutoka Global Publishers.

6 comments:

 1. Wala siyo wake za watu peke yao, Mkuu! Mwanamke yeyote yule ambaye si halali, hata asiwe mke wa mtu ili mradi siyo mke wako wa ndoa MATATIZO TUPU!

  Wiki iliepita nilipiga hesabu ajali za gari nilieyesababisha mie Manyanya tangu kuwa mwendeshaji-rasmi wagari, JUMLA NNE-4

  ...mara niliiponda GEARBOX yangu kwa kubadilisha hizo GEAR haraka-haraka 'nawahi kumwona "dada" mmoja'

  ...mara niliingia hovyo kwenye THREE-PHASE ROBOT JUNCTION bila maangalizi mazuri na TOTO alikuwa "msafiri" wangu katika kaToyota nayo MERCEDES-BENZ ikaja kupiga na kuharibu upande wake "msafiri" nusu yeye kufa, na vituko vingine siwezi kuhadisia zote...


  Ni moja tu katika hizo ajali nne ambamo COMMON FACTOR ya uasherati haikuwepo. Nilimwuliza afisa mmoja rafiki jeshini kwetu cheo MEJA je nimelogwa kupata ajali za aina hiyo naye akasema 'WALA!'

  Akaniambia yeye gari lake la bei kubwa zaidi ya MERCEDES liliungua mbele za macho yake akiwa anatangatanga nalo na mke asiye wake. Kwa kuwa yeye ni Mzulu, akadai, "Ni dalili AMADLOZI wanachukizwa na kitendo cha umalaya wa wanaume". ("amadlozi" ni "mababu wanaolinda ukoo wa mtu" kwa imani za Wazulu)

  Kuwatahadharisha wavulana: mimi nasema kama hamwezi kuishi bila mtu wa kike,basi fungeni ndoa! Na kama mmekwisha funga ndoa, kueni macho na wanawake wasiekuwa wake zenu! KWANZA: USIMLETE KAMWE NYUMBANI KWAKO AU KWENYE GARI LAKO MWANAMKE 'UNAYEMPENDA' IKIWA SI MKE WAKO.

  Hivyo utakuwa tajiri, Kijana unaesoma Blogu hii ya Mkuu!

  ReplyDelete
 2. Mke wa mtu ni kaa la moto , katu huwezi kulifumbata kiganjani!

  ReplyDelete
 3. Hivi kuna mke wa nyani pia?:-(

  Na hadithi ya MKE na MME wa mtu nani alianza kuisimulia?:-(

  Nawaza tu kwa sauti!:-(

  ReplyDelete
 4. kama una mke wako kwa nini umtamanimke wa mwingine aka mtu? kaaazi kwelikweli...

  ReplyDelete
 5. Vya kuiba vitamu jamani. Ndiyo maana wake za watu ni watamu ile mbaya. Jaribuni mtaniambia. I don't encourage it though because it is dangerous!

  ReplyDelete
 6. Kwa sie 'wala chumvi nyingi, tuliojionea mengi', mme huvutiwa kwanza na dalili fulani za huyu mke wa mtu, k.m. kanga moja na nguo nyepesi (see-through), mkao wa kujiachia, macho ya kurembua na kadha wa ka...dha. Mwanamke huyu mara nyingi huwa na mme mlevi au mme asiyemfikisha kileleni. Twaweza sema, karibu 95% ya wake za watu ndiyo huanza waume kwa ishara pamoja na hizo juu na wakiishamnasa aweza akajisahau kuwa yeye ni 'mwizi' kwa vionjo extraordinary.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU