NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, April 8, 2011

FIKRA YA IJUMAA: ATI, ULIOWAACHA CHINI WANGALI BADO WANAKUONA???

...Au unasubiri mpaka siku utakayoporomoka (au siku watakayokuporomosha) ndipo muonane ? 
~~~~~~~~~~~~~~~
Hebu tumpe nafasi Friedrich Nietzche (aka Mwanafalsafa Kichaa) atutafakarishe. Wikiendi Njema!

2 comments:

  1. Maswala ya kujisahau yanautamu wake wakati umejisahau! Kwa hiyo labda kuna watakao dai yote mbele kwa mbele na mpaka ifikie hiyo siku MKUBWA kaanguka ndio MKUBWA atajulia huko huko nini joto la jiwe!

    ReplyDelete
  2. Ni kawaida yetu kujisahau. Mtu uko mjini (au huku ughaibuni) na kuwasahau ndugu na jamaa tuliowaacha vijijini (kwa sisi tunaotoka vijijini). Na wenye madaraka nao hufanya vivyo hivyo!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU