NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, April 1, 2011

FIKRA YA IJUMAA: ATI, UNGEKUWA WEWE UNGEJIBUJE HILI SWALI ???


Matondo, unataka kuishi milele ili iweje ?

 

6 comments:

 1. mmmhh! Swali ngumu hili. Jr kwani aliyekuuliza swali anajua kama unataka kuishi milele?

  ReplyDelete
 2. Dada Yasinta - niliulizwa swali hili na rafiki yangu mmoja tulipokuwa kwenye makambi ya Kisabato enzi zile tukiwa kidato cha nne kule Bukoba kwa akina Kamala. Yaani mpaka leo bado nalikumbuka. Ni swali gumu eeh!

  ReplyDelete
 3. ili usife, sio kuishi kimwili baro ki sisi wenyewe

  ReplyDelete
 4. Mmmmh kakuswalika kaka!kuishi kwingi ni kuona mengi,pia kila mmoja anapenda kuishi,lakini mwisho wa yote tutakufa. TUpende tusipende!!

  Na kama unaamini Mungu kunakwenda Mbinguni,basi njia yenyewe mpaka ufe.

  Lkini jibu la swali kaka nimekosa!!!!nitapita baadae kuona kama jibu limepatikana.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU