NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, April 1, 2011

HAKI YA MAMA MI NAHAMIA BUMBULI !!!

2 comments:

  1. Ng'wanambiti - hakuna kikombe Bumbuli lakini si unaona hayo mambo kwenye video? Kuna mkombozi wa kweli huko!

    Mi nshachoka na mkombozi wangu mwenye utajiri kupindukia lakini usiowasaida cho chote watu wake. Angetaka hata kale kabarabara ka kutoka Bariadi kwenda Lamadi angeweza kukawekea lami hata kwa pesa zake mwenyewe tu!

    Halafu nasikia eti kule Magu pia kumeibuka kikombe kingine - tena cha sh. 200 tu! Ni kweli?

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU