NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, April 11, 2011

VITUKO "GYM": MAUWAZIRI HAYA YA KUFOSIWA SHIDA TUPU !!!

3 comments:

  1. Uwaziri wa kulazimishiwa, mmmh, yaani kazi zinakuwa nyingi, au majukumu? lakini `kula'mbona husemi,...kula,kula...tumbo hilo! THITHEMI

    ReplyDelete
  2. Naona kisukari, presha, pumu, mfadhaiko na matatizo mengine kibao kutoka kwa waziri huyu. Hata akienda Loliondo kunywa kikombe cha babu huyu ni kazi bure. Namshauri amsikilize huyu trainer wa gym na afanye mazoezi kwa bidii na aache kulalamika eti mauwaziri amefosiwa na yeye hakuyatakaga.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU