NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, May 5, 2011

Jamani Nimerudi - Tena Nimerudi na Misalaba

Baada ya kupotea kidogo kutokana na pilikapilika za kubeba maboksi, sasa nimerudi tena. Kuanzia sasa mambo yatakuwa sawia. Tuwemo !!!

6 comments:

 1. Kulikoni misalaba! Naona summer imeshapamba moto huko kwenu, kijani kimetawala.

  ReplyDelete
 2. Karibu sana kaka Matondo..Huo msalaba inabidi tukupokea maana naona kama umeelemewa vile...Pamoja Daima.

  ReplyDelete
 3. acha bangi hizo sasa msalaba huo wa nini? unaupenda kweli au unalazimika kutuonyesha kuwa wewe ni mtakatifu wa kufuata dini wakati sio kweli??

  ReplyDelete
 4. Karibu tena kaka Matondo, nategemea kila kitu kipo sawa maana hilo box lilikubana sana!!Tupe siri ya huo Masalaba kaka, najua kuna sababu ya wewe kuwa na Masalaba.

  Asante sana na Tumefurahi kukuona tena.

  ReplyDelete
 5. Matiya - Hapa kwetu ni kijani kwa mwaka mzima na huwa hatupati barafu.

  Da Yasinta - huu msalaba upo umesimikwa chini. Kulikuwa na watu wanaigiza Yesu alivyosulubiwa, nami nikapita hapo na watoto na tukapiga picha za ukumbusho wa pasaka ya mwaka huu.

  Kamala - Kusema kweli naupenda msalaba ingawa kutenda yale yanayoambatana nayo kwa asilimia 100 ndiyo ngoma - na kujifanya ni rahisi sana! Ina maana ukisikia leo nimefungua kanisa na kujiita Nabii, Mpakwa Mafuta, Mtume au Apostle kama wengi wanavyofanya hutakuja nikubatize ili uokoke? Au napo utasema nimevuta bangi tu?

  Swahili na Waswahili - Msalaba huu hauna siri yo yote. Ilikuwa ni tafrija ya siku ya pasaka na waumini walikuwa wanaigiza kusulubiwa na kufufuka kwa Yesu. Nami kamera ikanimulika nikiwa hapo msalaba uliposimikwa.

  Mwanasosholojia - Wabeja Namhala. Hangamaga!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU