NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, June 19, 2011

"NGAMIA" WA AFRIKA NA TUNDU LAO LA SINDANO

Ati, Afrika tungekuwa wapi kama tungekuwa na viongozi (si wata wala)  makini wanaojali na kupigania maslahi ya Waafrika wenzao badala ya matumbo yao, marafiki na familia zao? 

2 comments:

  1. JIBU NI KWAMBA, TUNGELIKUWA ZAIDI YA WAMAREKANI...FIKIRIA UTAJIRI TULIO NAO...WATU , ARDHI NK, KWAHIYO TUNACHOKOSA NI UONGOZI BORA...TUNAKOSA UZALENDO....NA HATIMAYE NI UBINAFSI NA KUJALI MATUMBO YETU WENYEWE!

    ReplyDelete
  2. Tatizo liko MAWAZONI ! Kama ukigeuza WABONGO ili waone tena kuwa ujanja na heshima ni kutumikia TAIFA,...
    hata ombaomba MATONYA unaweza kukuta anaenda mwenyewe kujisajili alipe kodi!:-(

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU