NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, June 25, 2011

USINGIZI KWELI NI "MWANAHARAMU" KABISA.

Tyson hoi bungeni. Uanasiasa......!!!

4 comments:

 1. Sasa nimekubali: Bongo tambarare :-)

  ReplyDelete
 2. Kweli Bongo tambarare.

  Kwa wenzetu hii yaweza kuwa kashfa ambayo inaweza kumpotezea mtu sifa na hata kazi kabisa.

  Pengine ni ishara ya mfumo wetu ulivyochoka na ujangwa wa fikra mpya.

  Pengine Mzee mzima alikesha "viwanja" na hivyo hakupata usingizi wa kutosha...Kazi kweli kweli.

  ReplyDelete
 3. Hapo akigutuka usingizini anaunga mkono hoja kwa asilimia mia moja. Halafu kinachosikitisha zaidi baada ya picha hii kuchapishwa gazetini ningelitarajia kwa nafasi yake, angewaomba radhi Wa-Tanzania kwa utovu huu mkubwa wa nidhamu. Lakini wapi bwana! Haya. Tutafika tu!

  ReplyDelete
 4. Ukiona hivi basi ujue kuwa na mwajiri wake KALALA !!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU