NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, July 30, 2011

BUNGE LA SAFARI HII KAZI KWELIKWELI....

Ni kweli mkokoteni huu umemwelemea huyu mama wa shoka? Wananchi wana maoni gani kuhusu mkokoteni huu kuwa "mzito" hivi? Hili ni jambo jema? 

Pengine "waheshimiwa" wetu hawa siku moja nao watazipiga kama wenzao HAWA. Kwa habari zaidi soma HAPA,  HAPA na HAPA. Katuni ni kutoka Katuni Inasema na Wavuti.

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU