NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, August 6, 2011

AISEE - UNA AKILI KAMA ULIZALIWA NA Ph.D !!!

 • Katuni hii ya Said Michael imenifanya nijiulize hili swali: Utendaji wa viongozi wetu wasomi wenye ma-Ph.D na maprofesa ukoje huko bungeni na serikalini hasa ukizingatia kwamba siku hizi kila Profesa na mwenye Ph.D anataka kuwa mbunge au waziri? Wanakwenda huko ili kutumia elimu yao ili kuiokoa jamii au wanafuata dili tu?
 • Wenyewe wanasema kwamba unaweza kutathmini uhai wa jamii na malengo ya mfumo wake wa elimu kwa kuangalia tabia na matendo ya wasomi wake. Ati, matendo ya wasomi wetu yanatuambia nini kuhusu mfumo wetu wa elimu - sisi tunaoishi katika nchi ya Ujamaa na Kujitegemea ambako binadamu wote ni sawa?

2 comments:

 1. nimeipenda sana katuni. Mchoraji ana akili sana. Ahsante sana kaka kwa kutuwakilishia.

  Ndiyo wasomi wanasiasa wetu.

  ReplyDelete
 2. nimeipenda sana katuni. Mchoraji ana akili sana. Ahsante sana kaka kwa kutuwakilishia.

  Ndiyo wasomi wanasiasa wetu.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU