NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, August 9, 2011

NENO LA LEO: NUKTA ZINAYOYOMA NA MUDA UNAKWENDA. UNAJUA KINACHOENDELEA ???


Ndiyo maana Heraclitus - mwanafalsafa wa kale wa Ugiriki aliwahi kusema kwamba "huwezi kuogelea mara mbili katika mto ule ule". Lakini pia tukumbuke kwamba kila kitu ni tofauti ingawa hakuna kilichobadilika. Tutafakari!

2 comments:

  1. Vingenevyo utaishia kudhani ni simulizi ya maisha ya nyoka. Kumbe ni kujivua gamba kunakotumiwa na viongozi ktk chama hivi.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU