NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, September 9, 2011

UJUMBE MZURI KUHUSU GONJWA LA UKIMWI KUTOKA KWAYA YA MUUNGANO MWANZA

4 comments:

 1. Inadaiwa tu kama DUNIA isingekuwa imeshikamana kisasa UGONJWA huu ungeshakwisha kwa kuwa watu wote wenye mdudud wangekuwa wameisha! Ila dunia ya sasa ambayo aambukizaye mdudu Mtwara siku hiyohiyo anaweza kuwa Dar halafu kesho yake yuko LONDON, labda kupona bahati!:-(

  P.S:
  Nimependa ujumbe wa hiyoMuungano Christian Choir,..
  ... ingawa nadhani inawezekana watu kibao hata ukiuita UKIMWI ni ugonjwa wa kutisha hueleweki kwa kuwa hatishiki tena mtu hasa kwa kuwa UKIMWI ushageuka kitu cha kawaida!

  ReplyDelete
 2. Nyongeza:

  Kuhusu kuzoe kitu hata cha kutisha. Nakumbuka mie nilikuwa naiogopa sana Biblia na bado naiheshimu. Nikaanza kuimba kwaya kanisani hapo Morogoro mjini. Na nilichokuwa nashuhudia hata siku mahubiri yalengavyo wazinzi , unaweza kukuta wanakwaya kadhaa ambao washazoea vitisho vya mahubiri kanisani wakijiandaa kuwa maswala ya kanisani yakiisha uzinzi uendelee hasa kwa kuwa kulikuwa na mabinti gia za kuwatoa kwao ni za kikanisakanisa na ni siku za Kanisa au mikesha ya maombezi ndio unaweza fanikisha mahitaji ya kizinzi.

  Nachojaribu kusema ni kuwa UJUMBE ukizoeleka ufanithi wake hufa na hubakia maneno tu ambayo wahusika wala hawayapi uzito.

  Na mpaka sasa naogopa sana wazoeao mpaka neno la Mungu halafu wako MAKANISANI kwa kuwa ndio kirahisi huweza kugeuza KANISA kuwa mradi tu kama wa Ng'ombe za maziwa.

  Na katika swala la UKIMWI nawasiwasi BONGO ishafikia hata mafunzoyake watu wengi ni dili tu au hata wasikilizao wala hawafuatilii yafundishwayo kihivyo.

  Ni mtazamo tu!

  ReplyDelete
 3. Habari za siku.
  Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

  Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
  http://blogutanzania.blogspot.com/
  kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
  Ahsante.
  Luiham Ringo.

  ReplyDelete
 4. Habari za siku.
  Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

  Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
  http://blogutanzania.blogspot.com/
  kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
  Ahsante.
  Luiham Ringo.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU