NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, November 30, 2011

KUJIVUA MAGAMBA: MKAKATI RAHISI NA MUHIMU LAKINI MGUMU KUTEKELEZEKA. KWA NINI ???

 • Mwanzoni ilisemwa, tena kwa vishindo na mihemko tele, kwamba mkakati kabambe wa kujivua magamba ili kuisafisha CCM ungekamilika katika muda wa siku tisini. Muda huo ukaja na kuyoyoma. 
  • Kwa wachambuzi wengi ilikuwa bayana kwamba mkakati huu rahisi na muhimu kwa uhai wa chama hiki kikongwe ama ulikuwa haukuandaliwa vizuri au utekelezaji wake ulikuwa umekwama na kugubikwa na ubabaishaji.
  • Swali wanalopaswa kujiuliza wanaoitakia mema CCM ni hili: Kwa nini utekelezaji wa mkakati huu umekuwa mgumu? Kwa nini ni vigumu kwa wanasiasa wetu hawa kujivua magamba? Wanaogopa nini? Ni kweli sasa nguvu zitatumika katika kukisafisha chama?
  Katuni zote ni kutoka kwa Said Michael.

  2 comments:

  1. Nimependa sana fonts, contents arrangement ya hii blog bt tupe wadau wako Updates zaidi.
   Ukiweza pitia
   www.TanzaniaKwetu.com
   na if possible jaribu kuisajili blog yako kule jus kuongeza viewers.

   Tupo pamoja Mtanzania!

   ReplyDelete
  2. Thithiemu thithiemu juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

   ReplyDelete

  JIANDIKISHE HAPA

  Enter your email address:

  Delivered by FeedBurner

  VITAMBULISHO VYETU