NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, December 1, 2011

HUYU MWANAFUNZI ANAJITAFUTIA MATATIZO HUYU...

4 comments:

 1. Huu ugonjwa...naweza nikasema hasa ni tamaa..kuna wimbo mmoja unasema hivi:- "Sifa ya macho kuona yaani kutazama kinachoonekana. Ila sio kila unachokiona ukazani kupata inawezekana. Nyumbani kuna msichana njiani utaona wengi wasichana.".....na kuendelea

  ReplyDelete
 2. Hii hali inawezekana na kuvumilika huko nyumbani. Ukifanya hivyo hapa kibarua huna na maisha ndiyo yamekupiga teke. Hapa mwanafunzi ni mfalme na si kama nyumbani ambako ni chombo cha walimu na kila mwenye kutaka kumhonga ili abangaize apata shahada yake. Huku ni jasho lako na si chupi wala ukoo wako. Big up Matondo kuleta katuni tekenyeshi kifikra.
  Nkwazi Mhango

  ReplyDelete
 3. Mmmmh!
  Ila mtoto mzuri anamchagua nani hapo? Maana kuna tupiganao wakati mshindi ni hausiboi ambaye wala hagombani kwakuwa Ticha , Wazazi , Denti Bishororo hawastukii mkuwa ni malizake hizooo!:-(

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU