- Ni kweli amekosekana mkereketwa jasiri mshika korombo akayabobonyoa haya magamba sugu kwa nguvu? Kubembelezana mpaka lini wakati nyoka wetu anazidi kudhoofika? Kipi ni cha muhimu zaidi: magamba yaliyochoka na kumaliza muda wake au afya ya nyoka wetu? Aiiii !!!
Katuni hii ni kutoka kwa Said Michael.




0 comments:
Post a Comment