NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, January 22, 2012

KUTENDA KOSA SI KOSA, KOSA NI ........!!!

  • Makosa mapya yanaonyesha kwamba unakua, unabadilika na unasonga mbele kifkra na kimaendeleo. Makosa mapya yanaonyesha kwamba unajaribu vitu vipya na katika kujaribu huko ndimo hatimaye mna mafanikio. Na kusema kweli makosa mapya ni ya lazima katika maisha yetu.
  • Na kama unajifunza kutokana na makosa hayo na kuepuka kuyarudia tena na tena basi hili ni jambo jema. Tangu hapo kutenda kosa siyo kosa isipokuwa kurudia kosa ati ! 

1 comment:

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU