NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, January 16, 2012

MWANGUA MAEMBE ANAPOJIKENGEUSHA NA KUSHINDWA KULENGA SHABAHA (UCHESHI)

 • Naitazama katuni hii kama kejeli dhidi ya binadamu. Tunayo tabia ya kushindwa kuhangaikia mambo ya muhimu katika maisha yetu na badala yake tunaongozwa na hisia, hulka na hata tamaa katika kusaka vitu ambavyo wala havitusaidii sana. 
 • Huyu baba badala ya kukazania kutungua haya maembe ili agange njaa aliyonayo yeye analengesha fikra zake na umakinifu kwingineko na matokeo yake analeta madhara mengine ambayo hayakutegemewa.
 • Lakini pengine haya ndiyo maisha ati! Kuna njia au mtindo mmoja tu wa kuyaishi?

4 comments:

 1. Huyu jamaa namjua huwa anazua mabalaa kama haya kwa kugeuka na kuangalia hii mizigo

  ReplyDelete
 2. arafu aliyepigwa stone ni mume wa mwenye matako

  ReplyDelete
 3. lakini sio tamaa wala hulka bila hivyo tusingezaliwa lazima hivyo vitu tuviangalie ila kinachotakiwa tuwe makini.kidume kuangalia jike hiyo ni halali kabisa wala sio kosa kwasababu imeumbwa ni asilia hiyo ila watu tunapenda kujishebeduatu mimi binafsi ningekuwa kama huyo muangua maembe ila ninakuwa makini

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU