NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, February 1, 2012

HIZI POSHO ZA WABUNGE MBONA KASHESHE ???

Katuni kwa hisani ya Said Michael.
*****************

(1) Spika anasema hata hizo walizoongezewa Bado Hazitoshi 

(2) Naibu Spika alishawahi sema kuwa watajadili jinsi ya kuzifuta.

(3) J.K. Aligoma kuzibariki posho hizi. 

(4) Jana ikaripotiwa kuwa J.K. Amezibariki Posho Hizo

(5). Ikulu mara moja imekana kwamba J.K hajabariki posho

(6). Waziri wa fedha naye hajui kitu kuhusu hizi posho.

(7) CCM nao wakaonyesha wasiwasi wao kuhusu hizi posho.(6). Hii mbona kasheshe? Ni nani aliyeidhinisha kupandishwa kwa posho hizi? Nini kinaendelea katika sakata hili? Ni sarakasi, mazingaombwe ama siasa ???

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU