NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, March 11, 2012

POLE WAZIRI MALIMA KWA KUIBIWA. AU PENGINE TUSEME POLENI WATANZANIA KWA KUIBIWA !!!

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Adam Malima (Mwenye kanzu)

(1) Vitu vilivyoibwa (Thamani = 23,300,000)

(1) Laptop tatu, aina ya Dell zenye thamani ya Sh. 5.6 milioni. 

(2) Vinasa sauti viwili vya digitali na headphone zake zote ambavyo thamani yake ni Sh milioni moja, 

(3) Simu tatu, ya kwanza Nokia C6 ya Sh500,000, Nokia E200 ya Sh250,000 na Blackberry yenye thamani ya Sh5.5 milioni.

(4) Pete mbili za almasi zenye thamani ya Sh 2.5 milioni

(5) Dola za Marekani 4,000 ambazo ni sawa na Sh 6.5milioni

(6) Fedha taslimu Sh1.5 milioni

(7) Kadi mbili za benki

(8) Mabegi matatu ya nguo

(9) Baraghashia mbili zenye thamani ya Sh50,000

(10) Nyaraka mbalimbali za Serikali.

(11) Pasipoti mbili za kusafiria

(2) Vitu Vilivyoachwa Japo Vilikuwa Sehemu ya Wazi

(1) Bastola

(2) Bunduki aina ya SMG 

(3) Hoteli aliyofikia (chumba 400,000 kwa siku)

Sina la kuongezea katika mkasa huu ambao unazua maswali mengi kuliko majibu isipokuwa tu kuwapa pole Watanzania kwa kuibiwa!!!  

Habari kamili kuhusu mkasa huu zinapatikana HAPA. Na wezi hawa wangali wanatafutwa kwa udi na uvumba. 

Maoni zaidi kuhusu suala hili yanapatikana kule kwa "Vingunge wa Fikra"

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU