NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, May 25, 2012

FIKRA YA IJUMAA: DUNIA HII NI MDUARA !!!


Ndiyo. Dunia hii ni mduara; na kila kitu kimeshonana, kutegemeana na kushabihiana na kingine. Kile umtendeacho mwenzio leo si ajabu kikawa ndicho utakachotendewa kesho. 

Kwa vile hakuna apendaye kutendewa mabaya, hebu basi na tukajitahidi kutenda yaliyo mema kwa binadamu wenzetu katika wikiendi hii. 

Muwe na wikiendi njema wadau....

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU