NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, May 24, 2012

KIINGEREZA JAMANI KIMESHATUSHINDA. NI LINI TUTAKUWA SIRIAZI NA SUALA LA LUGHA YA KUFUNDISHIA KATIKA MASHULE NA VYUO VYETU ???

3 comments:

  1. LAKINI,...
    .... na KISWAHILI naona kinaanza kufa kabisaa BONGO,....kama hakija tushinda tayari.:-(


    NASIKIA siku hizi ni WAKENYA ndio KATIKA maswala yote ya KISWAHILI huwa wanapewa DILI..... na katika ya KITAAALAMU yahusishwapo NA utaalamu wa LUGHA Duniani.....hata tusipoanzia na wa GUGO/GOOGLE.... au hata na wengine tu wahitajio WATAALAMU wa LUGHA......SI wataalamu wa LUGHA sio WATANZANIA?:-(

    ReplyDelete
  2. Mtakatifu - ni kweli Wakenya ndiyo wanaotamba kwa sasa. Inavyoonekana watoto wetu wanajifunza lugha nusunusu - kwenye Kiingereza hawako na kwenye Kiswahili hawako pia. Kitendawili hiki cha lugha-nusu sijui tutakifumbua lini. Hatuko siriazi na mfumo wetu wa elimu...

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU