NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, June 13, 2012

NENO LA KUTIA MOYO ASUBUHI YA LEO: HATIMAYE KUTAPAMBAZUKA !!!


Je, usiku wako umekuwa mrefu mno tena uliojaa ndoto za majinamizi, dhoruba na fujo za kila aina?

Je, umepoteza matumaini?

Usikate tamaa !!! Usiku huo mrefu ulioonekana kutokuwa na asubuhi hatimaye umekoma na kumepambazuka tena. Hebu asubuhi ya leo na ikakutie nguvu mpya zitakazokufanya kuyakabili matatizo na vipingamizi vyote vinayokukabili kwa mtazamo mpya uliosimikwa katika ushindi. 

Kumeshapambazuka !!!

2 comments:

  1. Ahsante sana kwa kweli hiki kipengele ni kizuri haya maneno yanatia moyo kwali...

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU