NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, June 13, 2012

UNAHITAJI KUJIUNGA NA FREEMASONS ILI UTAJIRIKE? BASI MUONE "DK" CHIPOTEKA !!!

 • Yaani unaambiwa ni utapeli kila mahali. Kuanzia waganga wa kienyeji kama huyu mpaka makanisani kwa "maaskofu" wanaokutaka utoe kila kitu ulichonacho ili upate mibaraka ya Mungu. Kwenye siasa huko sasa ndiyo usiseme...Na yule wa chini kabisa katika mfumo huu wa kitapeli naye akamtapeli nani? Pengine wengine itabidi tujifunze kutapeli familia zetu au kujitapeli sisi wenyewe. 
 • Na hili vuguvugu la Freemasons linalopigwa kila leo hapa Bongo nalo ni nini? Mara Ooh Freemasons wataiangamiza dunia 2012, mara hivi. Mbona huko kwa wenzetu hatuyasikii haya kuhusu hawa Freemasons? Japo ni kweli kwamba Freemasons ni kundi lenye usiri na utata mkubwa - tena lililosheheni memba wenye nguvu kihistoria na hata wakati huu, ni kweli wana uwezo wa kuiangamiza dunia? Kulikoni Bongo? Kwa nini utapelitapeli na kutishana namna hii?  
 • Tazama HAPA kwa mjadala mkali kuhusu hawa Freemasons kwa mtazamo wa Kiafrika. Maelezo ya kina kuhusu hawa Freemasons na imani zao yapo HAPA. Unaweza pia kusoma HAPA kuhusu mashirika mengine yenye nguvu na usiri mkubwa kama hawa Freemasons HAPA

3 comments:

 1. naomba mnisaidie kupata anuani ya freemason, kama email na call zao

  ReplyDelete
 2. Je, wewe ni biashara ya mtu au msanii, Wanasiasa au Mchungaji na unataka
  kuwa kubwa, nguvu na maarufu duniani, Jiunge nasi kuwa moja ya yetu
  rasmi mwanachama leo. Kisha Utapewa nafasi bora ya kutembelea atawaangazia na mwakilishi wake baada ya usajili kukamilika na wewe,
  hakuna sadaka, au maisha ya binadamu inahitajika, Illuminate undugu huleta pamoja
  mali na maarufu katika maisha, unaweza kupata kamili ya kuondoa umaskini mbali
  kutoka maisha yako sasa. Ni tu mwanachama ambaye ni ulianzishwa katika kanisa
  ya zagaa na mamlaka ya kuleta yeyote kwa kanisa, hiyo
  kabla ya kuwasiliana mwili yoyote lazima kuwa na uhusiano na ambao tayari ni mwanachama,
  Kujiunga na sisi leo na kutambua wewe utakuwa na matajiri na maarufu kwa mapumziko ya
  maisha yako, zagaa kufanya huko mwanachama furaha ili i nataka ninyi nyote
  pia kuwa mwanachama wa Illuminate Unaweza pia massage na sisi katika tovuti yetu, https: //www.illuminatiofficial.org/
  au email kichwani mwetu offical wakala katika California @ Californiaoffice666 @ gmail.com
  Asante.

  ReplyDelete
 3. Salamu kutoka kwa ndugu. Je, wewe ni mtu wa biashara, msanii wa Muziki, mchezaji wa soka au mfano unajaribu kuwa mkuu na maarufu katika maisha au kujaribu kupata utajiri wako na nafasi katika jamii na kupata pesa ndani ya siku tatu .Join Illuminati sasa ana Pesa, mamlaka, umaarufu, ulinzi, tiba ya ugonjwa wote na utajiri kuwa kichwa chako kwa siku tatu tu. Ikiwa una nia ya kujiunga na udugu wa illuminati na dada wasiliana nasi leo. Haijalishi wapi. Hakuna umbali unaweza kuathiri kazi ya baphomet Whatsapp +2347067805045 au Hangout / Barua pepe: rasmi.illuminati.reg@gmail.com na kusema ndiyo kwa ndoto zako. Saidi Lucifer.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU