NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, June 11, 2014

WASUKUMA MPO? HUYU HAPA MAMA USHAURI NA “BUZENGANWA BUDIBISAGA MADAKO”

Mnaukumbuka msemo huu? 
Ulikuwa unatumikaje? 
Mambo yanabadilika kwa kasi na tamaduni zetu nyingi zinatokomea.

Ni matumaini yangu kwamba wimbo huu utawakumbusha mbali hasa kwa wale ambao mmekulia vijijini. Anayetaka tafsiri aseme!

3 comments:

 1. Bwana Matondo,
  Niliweka comment yangu ukaifuta sijui ni kwanini. Narudia wazo lile lile hapa. Pokea taarifa kuwa mimi ni msomaji wako ninayeamini kuwa hali yako si salama kutokana na kutoona makeke yako kwa muda mrefu. Umeumbika kwa udongo sawa nami na wengine. Unaficha nini iwapo kila binadamu si kamili na lolote laweza kumkuta japo sikuwangii? Nini kinakusumbua ndugu yangu? Kulikoni. Hebu tujuze wasomaji na mashabiki wako mkuu.

  ReplyDelete
  Replies
  1. Asante kwa kunijali na japo kuulizia kuhusu afya yangu. Ukweli ni kwamba niko salama. Ni moto tu wa kuendelea ku-blog uliniishia. Ngoja nijaribu kuuchochea tena na bila shaka utawaka kama zamani...

   Tuko pamoja....

   Delete
 2. Kwani huo wimbo umeweka hapo wa kabila gani?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU